RASHIDI MATUMLA NA MANENO OSWARD WAPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO LEO!
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya' (katikati), akiwashuudia mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo' kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni KIjichi, Dar es Salaam siku ya Xmas.
No comments:
Post a Comment