RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA DR MIGIRO NA BALOZI MULAMULA KAMPALA HIVI KARIBUNI!
Rais Jakaya Kikwete akimpongenza Balozi Liberata Mulamula kwa kazi nzuri aliyoifanya katika sekreteriati ya Maziwa Makuu kwa miaka mitano. Pembeni ni Dr Asha-Rose Migiro Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa.
No comments:
Post a Comment