Monday, December 19, 2011

RAIS JAKAYA KIKWETE ALIPOWASILI KAMPALA KWA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA!

RAIS JAKAYA KIKWETE AKIONGEA NA RAIS WA ZAMBIA NA MWENYEKITI WA ICGLR ALIYEMALIZA MUDA WAKE MH MICHAEL CHILUFYA SATA (SHOTO) NA RAIS MWAI KIBAKI WA KENYA WAKATI WA UFUNGUZI WA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA

RAIS KIKWETE AKIWASILI UWANJA WA NDEGE WA ENTEBBE TAYARI KUHUDHURIA MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA.
RAIS SATA AKIMKABIRDHI RAIS MUSEVENI UNENYEKITI WA ICGLR MKUTANO WA NCHI ZA MAZIWA MAKUU KUPINGA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA. PICHA NA IKULU.

No comments:

Post a Comment