Monday, December 19, 2011

PICHA ZA RAIS KIKWETE WAKATI AKIWA MKUTANONI KAMPALA HIVI KARIBUNI!

Rais Jakaya Kikwete akiteta jambo na Rais Yoweri Museveni wa Uganda huku Katibu Mtendaji wa Kamati ya Kimataifa ya Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) anayemaliza muda wake Balozi Liberata Mulamula akitega sikio katika siku ya pili ya mkutano huo wa viongozi wakuu wa ICGLR wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongojini Munyonyo, Kampala, leo Desemba 16, 2011
Rais Jakaya Kikwete akimuwekea chaneli ya kupata lugha Rais Mwai Kibaki wa Kenya katika siku ya pili ya mkutano huo wa ICGLR wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongojini Munyonyo, Kampala, leo Desemba 16, 2011
Rais Jakaya Kikwete akichangia mada katika siku ya pili ya mkutano huo wa ICGLR wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongojini Munyonyo, Kampala, leo Desemba 16, 2011
Rais Jakaya Kikwete akiongea na Rais Michael Satta wa Zambia na mkewa usiku wa kuamkia leo, muda mchache kabla hawajaelekea Ikulu ya Entebbe ambako Rais Yoweri Museveni aliandaa chakula cha usiku kwakatik wajumbe mkutano huo wa viongozi wa ICGLR wa kupinga unyanyasaji na ukatili wa kijinsia hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongojini Munyonyo, Kampala, leo Desemba 16, 2011

No comments:

Post a Comment