Thursday, December 8, 2011

BALOZI WA MAREKANI NA BALOZI WA ULAYA WAMTEMBELEA RAIS KIKWETE IKULU LEO!

Rais Jakaya Kikwete akiagana na Balozi wa Ulaya nchini aliyemaliza muda wake Bw Tim Clarke aliyekwenda kumuaga leo Ikulu jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Kikwete akiongea na Balozi wa Marekani nchini aliyemtembelea kwa mazungumzo leo Alhamisi Desemba 8, 2011. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment