Friday, November 4, 2011

HIVI NDIVYO MAHAFALI TA TANO YA CHUO KIKUU KISHIRIKI TUMAINI DAR ES SALAAM KILIVHOFANYA MAHAFALI YAKE YA TANO KWENYE VIWANJA VYA KARIMJEE!

Blass Band ya Jeshi la Kujenga Taiga ikiongoza maandamano ya wanataaluma tayari kabisa kwa kuanza sherehe za mahafali ya tano ya TUDARCo.
Emmanuel Kwitema Mpiga Picha mkuu wa BTL 'Gazeti la Majira' naye alikuwa mmoja wa wahitimu kwenye mahafali hayo ya tano.
Mdau Timothi Wiliam Masirori aliyehitimu kozi ya, Bachelor of Business Administration akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu. 
Paul James Sweya Mwanahabari mwandamizi wa Clouds Media Group akijiandaa kwenda kutunukiwa  Shahada yake ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma.
Baadhi ya wanataaluma wakiwa kwenye maandamano kuelekea eneo walilopangiwa kukaa.
Paul James Sweya Mhitimu Shahada ya Sanaa ya Mawasiliano ya Umma akitunukiwa shahada yake.
Hapa huyo akiondoka mara baada ya kupata kile alichokiahangaikia kwa takribani miaka minne.
Timothi Wiliam Masirori akipewa zawadi ya Taji la Maua na Mkewe kwa kuhitimu kozi ya, Bachelor of Business Administration, ya Chuo Kikuu cha Tumaini Makumira wakati wa Sherehe za Mahafali ya 5 ya Chuo cha hicho jijini Dar es Salam. Picha zote na mdau SAID KHAMIS.

No comments:

Post a Comment