Bondia Deo Njiku wa Morogoro akipima uzito uwanja wa Jamuhuri leo kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) uliofanyika leo kushoto ni mpinzani wake Jonas Segu na promota wa mpambano uho Alifa Kipao.
Kocha wa mchezo wa ngumi Nchini Rajabu Mhamila ' Super D Boxing Coach' katikati akiwainua mikono juu mabondia Deo Njiku wa Morogoro kushoto na Jonas Segu wa Dar es salaam baada ya kupima uzito katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro jana kwa ajili ya mpambano wa kuwania ubingwa wa taifa wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBO) ulofanyika leo Jumapili. (Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/).
No comments:
Post a Comment