Wednesday, August 10, 2011

FAIDA CHICKS: UFUGAJI UTAWAKOMBOA WATANZANIA KUUKWEPA UMASKINI!

Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ Sumbuko Chipanda ya jijini Dar es Salaam ambayo inayojihusisha na utotoleshaji wa vifaranga aina ya ROSS 308 kutoka Marekani akionesha mayai yaliyo kwenye mtambo tayari kwa kutotoleshwa.
Mtaalam wa mitambo ya kutotolesha mayai aliyetokea Shirika la Elimu Kibaha Isdori Chikawe akimuelekeza jambo Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ Sumbuko Chipanda ya jijini Dar es Salaam ambayo inayojihusisha na utotoleshaji wa vifaranga aina ya ROSS 308 kutoka Marekani jinsi mitambo hiyo inavyofanya kazi.

Wataalam wa mitambo ya kutotolesha vifaranga aina ya Ross 308 yanayoingizwa kutoka Marekani wakipanga maboksi ya vifaranga tayari kwa matumizi. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ Sumbuko Chipanda ya jijini Dar es Salaam inayoingiza mayai hayo.

Mtaalam wa mitambo ya kutotolesha vifaranga aliyetokea Shirika la Elimu Kibaha Isdori Chikawe akimuelekeza jambo Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ JACQUELINE CHIPANDA (Wa kwanza kulia) ufanyaji kazi wa mitambo hiyo. Kwa wiki kampuni hiyo inazalisha vifaranga 30,000. Mwingine ni mfanyakazi wakiwana hicho.

Wafanyakazi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ inayototolesha vifaranga aina ya Ross 308 kwa kutumia mayai yanayoingizwa kutoka Marekani wakiandaa maboksi maalum kwa ajili ya kuhifadhia vifaranga 30,000 vinavyozalishwa kila wiki. Wa pili kulia ni Mkurugenzi wa kampuni hiyo JACQUELINE CHIPANDA.

Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ JACQUELINE CHIPANDA (Wa pili kulia) inayomiliki mitambo ya kutotolesha vifaranga aina ya Ross 308 kwa kutumia mayai yanayongizwa kutoka Marekani akiwaelekeza jambo wafanyakazi wa mitambo hiyo jinsi ya uhifadhi bora wa vifaranga. Wa kwanza kulia ni Mtaalam wa mitambo hiyo Isdori Chikawe.

Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ JACQUELINE CHIPANDA (Kushoto) inayomiliki mitambo ya kutotolesha vifaranga aina ya Ross 308 kwa kutumia mayai yanayongizwa kutoka Marekani akielekezwa jambo na Mtaalam wa mitambo hiyo Isdori Chikawe.

Mkurugenzi wa Kampuni ya RRS Family Enterprises ‘Fuga Ufaidike’ JACQUELINE CHIPANDA (Kushoto) inayomiliki mitambo ya kutotolesha vifaranga aina ya Ross 308 kwa kutumia mayai yanayongizwa kutoka Marekani akikagua moja ya mitambo 12 iliyopo kiwandani hapo.

No comments:

Post a Comment