Jeshi la polisi linamshikilia mwanamke mmoja mkazi wa eneo la Msasani Village Jijini Dar Es Salaam aitwae SALAMA ALHAJI kwa tuhuma za kumchoma kisu na kumuua mumewe aitwae DOTO ADAMU anashikiliwa na polisi kwa tuhuma za kumuua mumewe aitwae DOTO ADAM kwa kumchoma kisu tumboni wakati wakiwa chumbani huku chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi.
Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Msasani Bonde la Mpunga Mchungaji PASCAL MBEPERA anaelezea Jinsi tukio hilo lilivyokuwa.
Hata hivyo Mwanamke huyo ambaye alijificha chooni baada ya kutuhumiwa kufanya mauaji hayo wakati akihojiwa na polisi alishindwa kujibu chochote na badala yake aliishia kulia.
No comments:
Post a Comment