Wednesday, April 4, 2012

WATANZANIA WATAKIWA KUBUNI MIRADI INAYOKOPESHWA NA BENKI YA AfDB!

Baadhi ya washiriki wa Semina ya kuwahamasisha Watanzania kubuni miradi inayokopeshwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB wakijiandikisha kushiriki semina hiyo iliyoandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi nchini TPSF Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Bodi wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini TPSF, SALUM SHAMTE (Katikati) akiwa na washiriki wengine wa Semina iliyoandaliwa na TPSF ili kuhamasisha  Watanzania kubuni miradi inayokopeshwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Fedha na Uchumi MUSTAFA MKULO akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini TPSF, SALUM SHAMTE wakati wa Semina iliyoandaliwa na TPSF ili kuhamasisha  Watanzania kubuni miradi inayokopeshwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Uchumi MUSTAFA MKULO akiteta jambo na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafsi nchini TPSF ESTHER MKWIZU wakati wa semina iliyoandaliwa na TPSF ili kuhamasisha  Watanzania kubuni miradi inayokopeshwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB iliyofanyika Jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB, TONIA KANDIERO akizungumza na washiriki wa Semina iliyoandaliwa na Taasisi ya Sekta Binafsi nchini TPSF ili kuhamasisha  Watanzania kubuni miradi inayokopeshwa na benki hiyo.

No comments:

Post a Comment