Ndg zangu wapendwa ktk boxing ,si vibaya nikawafahamisha kuhusu uhusiano ,wa TPBO na mashirikisho ya ngumi za kulipwa yaliyoko nje ya tanzania kama unavyoonyesha uteuzi huu juu yangu uliofanywa na MR YOUNG ,Pia napenda kuwaarifu kwamba nimeongeza nguvu ktk kikosi kazi cha TPBO kwa kumteuwaaliyewahi kuwa katibu mkuu wa TPBC, MR FIDEL HYENES Kuwa
MKURUGENZI WA UTAWALA NA UFUNDI WA TPBO KWA KIPINDI CHA MIAKA 3
KUANZIA TAREHE 15-02-2012.
Na ndg BENJAMIN CHUMA KUWA MSHAURI MKUU WA RAIS WA TPBO KWA KIPINDI
CHA MIAKA 3 KUANZIA TAREHE 15-02-2012. Pia hivi karibuni nitateuwa wakurugenzi wa mikoa ambao watasimamia shughuli za tpbo mikoani mwao.lengo kuu ni kuhakkisha kwamba TPBO.
Inaboresha zaidi ngumi za kulipwa nchini kwa kuhakikisha wanapatikana WAKUZAJI WENGI WA UHAKIKA [promoters] ambao watawasadia mabondia wetu kujipatia kipato mara kwa mara ili wapunguze makali ya maisha kupitia nguvu kazi ngumi, ninawaomba hao niliowateuwa mshirikiane nao kama mnavyoshirikiana nami binafsi
NB; KWA WAANDISHI WA HABARI MNARUHUSIWA KUITUMIA TAARIFA HII KWENYE
VYOMBO VYENU HUSIKA AHSANTENI NYOTE YASSIN ABDALLAH MWAIPAYA- USTAADH RAIS-TPBO.
No comments:
Post a Comment