Saturday, April 14, 2012

TPSF YAZINDUA TAASISI YA INSTITUTE OF FOOD SCIENCE AND TECHNOLOGY

 Mkurugenzi wa TPSF,Godfrey Simbeye (kulia)akiongea wakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Mwaka wa wadau wa TPSF na Uzinduzi wa Tasisi ya TanzaniaInstuit of Food Science and Technology iliyfanyika jijini Dae es Salam.wengine ni Katibu Mkuu Widhara yaViwana Biashara na Masopo Joyce Mapunjo na Sherry Khani

 Katibu mkuu wizara ya Viwanda Biashara na Masoko Joyce Mapunjo akiongeawakati wa ufunguzi wa Mkutano mkuu wa Mwaka wa wadau wa TPSF na Uzinduzi wa Tasisi ya TanzaniaInstuit of Food Science and Technology iliyfanyika jijini Dae es Salam.Kushoto ni Mkurugenzi wa TPSF,Godfrey Simbeye

Baadhi ya washiriki wa Mkutano mkuu wa Mwaka wa wadau wa TPSF na Uzinduzi wa Tasisi ya TanzaniaInstuit of Food Science and Technology wakiowa katika mkutano huo uliyofanyika jijini Dae es Salam.

No comments:

Post a Comment