Tuesday, July 26, 2011

TAASISI YA RASTAFARI YATOA MSAADA WA MATUNDA HOSPITALI YA MWANANYAMALA!

Wanachama wa Taasisi ya Rastafari Movement wakitoa msaada wa matunda kwa wagonjwa waliolazwa katika wodi ya wazazi hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam juzi ikiwani sehemu ya maadhimisho ya sikukuu ya kuzaliwa kwa Mfalme Haileselasie wa Ethiopia.

No comments:

Post a Comment