Saturday, March 3, 2012

MAGARI YA HUDUMA YA MKOBA YALIYOTOLEWA NA SERIKALI

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda(kushoto) akimkabidhi ufunguo wa gari   la huduma ya mkoba(mobile clinics)  mwakilishi wa hospitali ya Rufaa ya  Bungando, Neema Mshana

baadhi ya watumishi wa afya wakiwemo waandishi wa habari wakimwangalia Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda wakati akiendesha mmoja ya gari  ya huduma ya mkoba

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda(kushoto) akimkabidhi ufunguo wa gari   la huduma ya mkoba(mobile clinics)  mwakilishi wa hospitali ya Rufaa ya  Bungando, Neema Mshana

Meneja Mkuu wa kutoka Ship Building& Repair, Darryl Lain akitoa maelekezo kwa baadhi ya wawakkilishi wa hospitali  zilizopewa magari hayo jinsi ya kutumia gari la huduma ya mkoba. PICHA KWA HISANI YA MAGRETH KINABO WA MAELEZO DSM!

No comments:

Post a Comment