Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal na mkewe Mama Asha Bilal, wakisikiliza maelezo kutoka kwa Ofisa Kilimo na Mifugo wa Manispaa ya Mafinga, Augustino Nyenza, wakati akitoa maelezo kuhusu jengo jipya la Machinjio lililojengwa katika Kijiji cha Ngelewela mkoani Iringa, jana |
No comments:
Post a Comment