Thursday, October 20, 2011

MKUTANO WA HADHARA, NAPE & MWIGULU WAFUNIKA GEITA!

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia maelfu ya watu katika mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Geita akiwa katika ziara ya kikazi. Katika ziara hiyo Nape amefuatana na Katibu wa NEC, Uchumi na Fedha CCM, Mwigulu Nchemba na Mbunge wa Mtera Liginstone Lusinde.

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Uchumi na Fedha Mwigulu Nchemba akihutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara uliofanyika jana mjini Geita.
Watu waliofurika katika mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika mjini Geita, wakishangilia viongozi wa CCM walipowasili katika mkutano huo.

No comments:

Post a Comment