Monday, October 10, 2011

MAONESHO YA MIAKA 50 YA UHURU YALIYOANDALIWA NA OFISI YA WAZIRI MKUU YASHIKA KASI MNAZI MMOJA!


Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Bw. William Lukuvi akitembelea mabanda ya maonesho ya miaka 50 ya Uhuru ya Ofisi ya Waziri Mkuu yaliyoanza jana tarehe 9/10/2011. Alitembelea mabanda mbalimbali kujionea shughuli zinazofanywa na Idara, Taasisi na Wajasiriamali katika kuadhimisha miaka 50 ya Uhuru wa Ofisi hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
Kikundi cha sanaa kutoka Tanzania House of Talent ( THT) wakitumbuiza katika Viwanja vya Mnazi Mmoja wakati wa ufnguzi wa maadhimisho ya Sherehe za Miaka 50 ya Uhuru ya Ofisi ya Waziri Mkuu.

No comments:

Post a Comment