Monday, September 19, 2011

KASEBA AJIFUA KUPAMBANA NA MANENO OSWALD OKTOBA MWAKA HUU!

Bondia, Japhet Kaseba akifanya mazoezi ya kukaza misuri ya tumbo, kambini kwake Mwanyamala, Dar es salaam jana, Kaseba anajiandaa na mpambano na Maneno Osward litakalofanyika mwanzoni mwa mwezi ujao (Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/).

No comments:

Post a Comment