Saturday, July 16, 2011

RAIS WA MFUKO WA KUWAIT UKANDA WA AFRIKA AMTEMBELEA MAKAMU WA RAIS!

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi Mohammed Al-Shamri, wakati alipofika kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 15 na kufanya naye mazungumzo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mfuko huo kwa upande wa Tanzania, Samy Mohammed.

                                 Makamu wa Rais akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Rais wa Mfuko wa Kuwait Ukanda wa Afrika, Sheikh Fahdi Mohammed Al-Shamri, wakati alipofika kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Julai 15 na kufanyanaye mazungumzo. Picha na Muhidin Sufian. OMR

No comments:

Post a Comment