Monday, June 13, 2011

VODACOM MISS TABATA ILIVYOKUWA MWISHONI MWA WIKI!

Vodacom Miss Tabata 2011 Faidha Ally(katikati) akipunga mkono baada ya kutangazwa mshindi wa shindano hilo,kulia mshindi wa pili Godriver Mashanga na Mshindi wa tatu Lilian Brayson.
Baadhi ya washiriki wa shindano la kumtafuta Vodacom Miss Tabata wakicheza mziki wakati wa ufunguzi wa shindano hilo.
 Vodacom Miss Tabata 2011 Faidha Ally akipita jukwani na vazi la ubunifu wakati wa shindano hilo.

Baadhi ya washiriki wa shindano la kumtafuta Vodacom Miss Tabata wakipita jukwaani na vazi la ufukweni wakati shindano hilo.

Warembo waliofanikiwa kuingia katika tano bora ya shindano la Vodacom Miss Tabata,ambapo Faidha Ally aliibuka mshindi.

Vodacom Miss Tabata 2011 Faidha Ally akijibu swali aliloulizwa ni jinsi gani atamshauri Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Jerry Slaa pindi akipata nafasi ya kukutana nae, kushoto ni Jaji wa shindano hilo Leyla Bhanji.
Vodacom Miss Tabata Faidha Ally akipunga mkono mara baada ya kuwabwaga washiriki wenzake 20.

No comments:

Post a Comment