Wednesday, July 6, 2011

NAPE ATEMBELEA MAONESHO YA 35 YA BIASHARA YA SABASABA!

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi CCM, Nape Nnauye akicharaza gita, katika banda la VETA, alipotembelea Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa, Viwanja vya maonyesho hayo vya Mwalimu Nyerere, mjini Dar es Salaam.

                                              Nape akiwa kwenye banda la Veta Sabasaba!
Katibu wa Itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akinunua mtandio wa rangi ya chama kwa masiliamali wa Camphil Handloom Weaver, Irene Lomayani ilililopo katika Banda la Mama Anna Mkapa alipotembelea maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa jana.

Katibu wa Itikadi na uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Nape Nnauye akijaribu Terekta katika Banda la Wizara ya Biashara na Viwanda wakati alipotembelea maonyesho ya 35 ya Biashara ya Kimataifa jana.

No comments:

Post a Comment