Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Issa bin Shaaban Simba akimkaribisha ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Kinondoni mjini Dar es Salaam, jana (LEO). Mukama alikwenda Ofisini kwa Mufti kwa ajili ya kumsalimia na kuwa na mazungumzo naye ya faragha.
Mufti wa Tanzania, Sheikh Mkuu, Issa bin Shaaban Simba akimkaribisha ofisini kwake, Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, Kinondoni mjini Dar es Salaam, jana (LEO). Mukama alikwenda Ofisini kwa Mufti kwa ajili ya kumsalimia na kuwa na mazungumzo naye ya faragha. Kulia ni Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Sheikh Seleman Lolila (Picha na Nkoromo Daily Blog).
No comments:
Post a Comment