Monday, May 16, 2011

WAKAZI WA MERERANI WAOMBA SERIKALI IONGEZE KASI YA USAMBAZAJI VYANDARUA!

       Warembo wa Vodacom Miss Tanzania 2010 wakiwa mkoani Manyara kugawa vyandarua!
Wakazi waishio MERERANI mkoani MANYARA wameishauri serikali kuwasambazia vyandarua katika eneo lao ili waweze kujikinga na ugonjwa wa malaria hasa kwa wanawake wajawazito na watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.



Wakizungumza na kituo hiki wakazi hao wamedai kuwa ingawa serikali inajitahidi kusambaza vyandarua lakini vichache vinavyofika katika maeneo yao vimekuwa vikiuzwa kwa hivyo jitihada za haraka zinahitajika kwa ajili ya kusambaza vyandarua vya kutosha.

No comments:

Post a Comment