Friday, May 13, 2011

Mamlaka ya mawasiliano nchini TCRA imesema mradi wa kuanzisha Anwani mpya za kitaifa za makazi (Postcode) umefikia katika hatua za Mwisho kabla ya kuanza kutumika, ambapo pia umelenga kusambazwa nchi nzima.

Akizungumza Jijini DSM mkurugenzi mkuu wa Mamlaka hiyo Profesa JOHN NKOMA amesema mpaka sasa mradi huo umekwisha fanyia majaribio katika mikoa ya Arusha na Dodoma ambayo yamekuwa na mafanikio makubwa.

No comments:

Post a Comment