Monday, June 4, 2012

Mamia ya wananchi wamejitokeza kwa wingi kwenye mbio za Susan G.Komen. kumaliza vita dhidi ya maradhi ya Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012!

 Warembo wa kiTanzania wakiwa mstari wa mbele katika mpango mzima wa kutimiza mwindo wa mile tatu.

 Team Tanzania waki wakiwa kipata picha ya pamoja  katika kuitikia wito wa kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa saratani ya maziwa, utafiti na elimu dhidi ya ugonjwa huo

 Mamia ya watu kutoka sehemu mbali mbali waliungana kwa pamoja katika zowezi hilo la kuunga mkono wanawake ambao wanakabiliwa na ugonjwa wa Saratani ya maziwa.

 

 Wana nchi wakiwa katika mwendo wa Susan G.Komen. kumaliza vita dhidi ya maradhi ya Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012

 Kina kaka nao pia hawajajiweka nyuma kuunga mkono Susan G.Komen. kumaliza vita dhidi ya maradhi ya Saratani ya Maziwa Susan G.Komen. 2012! ndani ya Washington DC.

 Latino Team pia hawakujiweka nyuma kupiga vita ungonywa huo hatari unaowapa tabu kina Mama

 Mamia ya wananchi wakiwa katika matembezi ya Susan G.Komen. 2012! Down Town Washington DC

 Team Tanzania baada ya kumaliza matembezi ya Susan G.Komen. dhidi ya kupiga vita  maradhi ya Saratani ya maziwa.

 Tukio hili liliaza kwa matembezi ya vikundi vya mataifa mbali mbali wanaoishi hapa nchini marekani

No comments:

Post a Comment