Thursday, May 26, 2011

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA 6 WA KIMATAIFA WA MAWASILIANO ICT

Makamu wa Rais wa Jamhuri wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihojiwa na waandishi wa habari baada ya kufungua mkutano huo wa sita wa Kimataifa wa Afrika kuhusu Teknolojia ya Taarifa na Mawasiliano ya Ustawi, Elimu na Mafunzo (ICT), uliofunguliwa jijini Dar es Salaam jana Mei 25.

Makamu wa rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisikiliza maelezo kutoka kwa Samwel Muro, wakati alipotembelea banda lao la maonyesho baada ya kufungua mkutano wa sita wa Kimataifa wa Afrika kuhusu Teknolojia ya Taarifa na Mawasiliano ya Ustawi, Elimu na Mafunzo (ICT), uliofunguliwa jijini Dar es Salaam jana Mei 25.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipongezwa na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka, baada ya kufungua mkutano wa sita wa Kimataifa wa Afrika kuhusu Teknolojia ya Taarifa na Mawasiliano ya Ustawi, Elimu na Mafunzo (ICT), uliofunguliwa jijini Dar es Salaam jana Mei 25.
Baadhi ya Mawaziri na Manaibu wao waliohudhuria ufunguzi wa mkutano huo, wakifuatilia maonyesho ya picha zilizokuwa zikionyeshwa katika Screen za ukutani.


Picha ya pamoja na baadhi ya watu waliopresent paper zao.PICHA ZOTE NA MUHIDINI SUFIANI-OMR.

No comments:

Post a Comment