Monday, April 30, 2012

CHEKA ALIVYOMGALAGAZA MAUGO BILA HURUMA

Baadhi ya Maraisi wa vyama vya mchezo wa Masumbwi Nchini wakiangalia mchezo wa Mada Maugo na Francis Cheka ubingwa wa IBF AFRIKA kutoka kushoto ni Rais wa TPBO,Onesmo NgowiwaTPBC.
 

 Ibrahimu Maokola kulia akipambana na Saidi Mbelwa Maokola alishinda kwa Point.Picha na http://www.superdboxingcoach,blwww.superdboxingcoach,blogspot.comogspot.com/



 Baadhi ya mashabiki waliokuwa wamekaa katika VIP wakiangalia mpambano


 Mada maugo kushoto na Francis Cheka wakioneshana umwamba wa kutupiana masumbwi.

 Cheka akipiga ngumi bila mafanikio uku mada akiludi nyuma kujiami

Meya wa manispaa ya ILALA JERRY SLAA akimpongwza FRANCIS CHEKA kwa kuibuka kidedea.

No comments:

Post a Comment