Friday, March 30, 2012

MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AKUTANA NA MABALOZI WA SAUDIA, UTURUKI NA VATCAN IKULU DAR LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Saudia nchini Tanzania, Hani Abdullah Mo’minah, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Machi 29, 2012, kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea zawadi kutoka kwa  Balozi wa Saudia nchini Tanzania, Hani Abdullah Mo’minah, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Machi 29, 2012, kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Uturuki nchini Tanzania, Ali Davutoglu, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Machi 29, 2012, kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Balozi wa Vatcan nchini Tanzania, Francisco Montecillo Padila, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Machi 29, 2012, kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi wa Vatcan nchini Tanzania, Francisco Montecillo, wakati alipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam leo Machi 29, 2012, kwa ajili ya mazungumzo. Picha zote na Muhidin Sufiani-OMR.

No comments:

Post a Comment