Monday, March 26, 2012

KAMPENI ZA CCM KATA YA NGWARANGA

 Mgombea wa CCM Ubunge jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari na Mratibu wa kampeni za CCM, Mwigulu Nchemba wakisalimia wananchi walipowasili kata ya Ngwaranga kwa ajili ya mkutano wa kampeni jimboni humo, jana

 Wananchi wakiulaki kwa shamrashamra msafara wa Sioi kijiji cha Ngwaranga

 Mgombea wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akishauriwa jambo na Mbunge wa Hanang, Mary Nagu wakati wa mkutano wa kampeni za CCM katika kata ya Ngwaranga, jimboni humo, jana. Katikati ni Katibu wa NEC, Oganaizesheni CCM, Asha Abdallah Juma.

 Mwigulu akimnadi Sioi Ngwaranga

 Mtoto Moreen Ajuaeli mwenye umri wa miezi minane akiwa amepanpwa na mama yake, Rose Shayo (kushoto) kwa skafu ya CCM, kwenye mkutano wa kamepeni za CCM, kijiji cha Ngwaranga.

Mgombea wa CCM Sioi Sumari

No comments:

Post a Comment