Mkurugenzi wa kampuni ya Equilibrium Rope Access Bw. Abdulkarim Tumba akipanda juu kwa ajili ya kusafisha vioo kwa kutumia teknolojia ya Rope Access ambayo ni mpya kwa hapa nchini. Aliongeza kuwa ni vyema Watanzania wenye majengo ni vyema wakajitoa kwa kuitumia teknolojia hii ambayo ni salama. Na leo kwa mara ya kwanza tokea teknolojia hiyo imeingia nchini Tanzania wameifanya katika Jengo la CM Plaza lililopo jijini Dar es Salaam.
Akielekea juu kwa ajili ya kuanza kusafisha jengo hilo; ambapo usafi unafanyika kwa ustadi kabisa.
Muonekano wa jengo huku akionekana Bw. Abdulkarim Tumba akiendelea na usafi.
Hapa akiendelea na usafi ambapo haitaji vifaa vingi wala umeme na ni haraka na salama.
Jengo la CM Plaza kama linavyoonekana wakati likifanyiwa usafi.
No comments:
Post a Comment