Kikwete akimsalimia Katibu Mkuu wa CCM mstaafu, Philip Mangula kabla yamatembezi kuanza Ofisi ya CCM mkoa wa Mwanza. Kulia ni Katibu Mkuu Mstaafu Yussuf Makamba |
Rais Kikwete akimsalimia Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye kabla ya matembezi hayo. |
Wananchi kutroka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Mwanza wakiwa kwenye Ofisi ya CCM mkoa huo tayari kushiriki matembezi hayo |
Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama akiwa na Makatibu wastaafu wa CCM, Yussuf Makamba na Philip Mangula kabla yamatembezi kuanza |
Vijana wa Sungusungu wakijifua kabla ya matembezi kuanza |
Kijana Mussa aliyemwagiwa tindikali wakati wa kampeni za ucxhaguzi mdogo jimbo la Igunga mwaka jana, akishiriki matembezi hayo. Wapili kushoto ni Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye. |
Wananchi wakiushangilia msafara wa matembezi hayo ulipopita eneo la mtaa wao. |
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kiwkete akiwasalimu wananchi baada ya kufika mwisho wa matembezi hayo kwenye Viwanja vya Furahisha jijini Mwanza |
Matembezi yakiingia kwenye Viwanja vya Furahisha |
Sungusungu wakionyesha ukakamavu wao baada ya Kikwete kuwasili nba matembezi hayo kwenye viwanja vya Furahisha. |
No comments:
Post a Comment