Wednesday, February 1, 2012

FRANCIS CHEKA MADA MAUGO KUGOMBEA UBINGWA WA IBF RAUNDI 12 APRIL 28 PTA SABASABA

Bondia Fransic Cheka akizungumza na waandishi wa habari leo kupigania ubingwa  IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.


Makamu mwenyekiti wa Oganaizesheni ya ngumi za Kulipwa Nchini, Madaraka Nyerer (Kushoto) akiwaelekeza mabondia Fransc Cheka kulia na Mada Maugo jinsi ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kupigania ubingwa  IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.

 Bondia Mada Maugo akizungumza na Waandishi wa Habari mara baada ya kutia saini mkataba wa mpambano wake na Francis Cheka.

Bondia Mada Maugo akiongea na waandishi wa habari wakati wa kusaini mkataba uho leokupigania ubingwa  IBF raundi 12 litakarofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba Aprilo 28.

No comments:

Post a Comment