Tuesday, February 7, 2012

BARNABA KWENDA UFARANSA KUREKODI 'TUACHANE KWA WEMA' NA FALLY IPUPA

Msanii wa muziki wa kizazi kipya BARNABAS ELIAS ''BARNABA''

MSANII mahiri katika miondoko ya muziki wa Bongo Flava Barnara, anataraia kuondoka nchini
Machi 28, mwaka huu kuelekea nchini Ufaransa kwa ajili ya kurekodi kibao chake kipya
kiitwacho 'Tuachane kwa Wema, ambacho atamshirikisha mwanamuziki nyota wa muziki wa Dansi
Fally Ipupa.

No comments:

Post a Comment