RAIS KIKWETE KATIKA MSIBA WA MBUNGE WA CHADEMA MAREHEMU REGIA MTEMA NYUMBANI KWA MAREHEMU TABATA!
Rais Jakaya Kikwete akijiunga na waombolezaji katika msiba wa Mbunge wa Viti Maalumu (CHADEMA) Mh Regia Mtema January 15, 2012 nyumbani kwa marehemu Tabata jijini Dar es salaam ambako Waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda, Spika Anne Makinda na Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe walikuwapo. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment