Nashukuru kwa press release. Brilliant advice in fact. My advice to you Mheshimiwa though is that you might want to find out how much money the Government has released kwa ajili ya ujenzi wa barabara na inaendelea kutoa ili ujenzi wa miundombinu ya barabara iendelee bila kuathiriwa na nakisi yoyote ya Bajeti. Nakutakia sikukuu njema ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Best regards
Salva.
No comments:
Post a Comment