Wednesday, November 2, 2011

WANASAYANSI NCHINI WATAKIWA KUFANYIA UTAFITI NDANI YA NCHI!

Wanasayansi chipukizi nchini wameshauriwa kuwa na mazoea ya kufanya tafiti za sayansi na teknolojia katika mazingira ya ndani ya nchi jambo ambalo litasaidia kuipunguzia serikali gharama katika ununuzi wa teknolojia nje ya nchi.

Mkurugenzi wa Kampuni ya wanasayansi chipukizi nchini, Bwana GOSBERT KAMUGISHA amesema kuna haja ya kutoa kipaumbele kwa wanafunzi wa sekondari kutachangia kuwepo kwa watalamu wa baadae ambao watainua Uchumi wa nchi kupitia sayansi na teknolojia.

No comments:

Post a Comment