Saturday, March 17, 2012

KAMPENI ZA CCM ARUMERU LEO JUMAMOSI!

Mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM, jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari akisalimia wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni za CCM, uliofanyika leo Kijiji cha Mikandini jimboni humo. (Picha zote na Bashir Nkoromo).

Mgombea ubunge wa CCM, Arumeru Mashariki Sioi Sumari akisalimia mtoto Salehe Khalfan (3) aliyemkuta kwenye mkutano wa kampeni kijiji cha Mikandini.
Mratibu wa kampeni za CCM uchaguzi mdogo jimbo la Arumeru Mashariki, Mwigulu Nchemba akimnadi Sioi kwenye mkutano wa Mikandini leo.
Wazee wa kijiji cha Mikandini jimbo la Arumeru Mashariki wakifuatilia kwa makini hotuba ya Sioi wakati wa mkutano uliofanyika leo kwenye kijiji hicho.
                                                 Kinamama Mikandini wakimshangilia Sioi.
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa CCM, Oganaizesheni, Asha Abdallah Juma akizungumza na wananchi katika mkutano wa kampeni kijiji cha Maroroni. Kushoto ni Mbunge wa Mtera Livingstone Lusinde.
Msafara wa mgombea wa CCM Sioi Sumari ukichanjam mbuga katika kampeni jimbo la Arumeru Mashsriki kusaka kura. (Picha Zote na Bashir Nkoromo).

No comments:

Post a Comment