Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimwelezea mshindi wa luninga Sylvester Stewa baada ya kujishindia luninga hiyo katika promosheni ya Mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu kila siku,katika Afisa masoko wa kampuni hiyo Simon Mwambapa.
Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimkabidhi hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 11 mshindi wa promosheni ya Mega Gardner Habash(kulia)inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu kila siku,katikati Meneja wa Vodacom Henry Tzamburukas.
Mshindi wa promosheni ya Mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania Gardner Habash(kulia)akiangalia hundi yake yenye thamani ya shilingi Milion 11 baada ya kukabidhiwa rasmi na Meneja wa Vodacom Henry Tzamburukas, kulia ambapo wateja hushiriki na kujishindia fedha taslimu na luninga ya kisasa kila siku.
Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimkabidhi hundi yenye thamani ya Tsh Milioni 11 mshindi wa promosheni ya Mega Juvenal Kwayu(kulia)promosheni hiyo inaendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo kila siku wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu,katikati Muhasibu wa kampuni hiyo Lina Munis.
Mkuu wa Vodacom kanda ya Pwani Atilio Lupala(kushoto)akimuangalia mshindi wa Tsh Milioni 11, Juvenal Kwayu akifurahia hundi yake aliyejishindia katika promosheni ya mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo kila siku wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu. Mshindi wa Tsh Milioni 11, Juvenal Kwayu akifurahia hundi yake aliyejishindia katika promosheni ya mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo kila siku wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu.
Mshindi wa Tsh Milioni 11, Sebastian Kimaro akionyesha hundi yake aliyejishindia katika promosheni ya mega inayoendeshwa na Vodacom Tanzania ambapo kila siku wateja hushiriki na kushinda luninga na fedha taslimu,kulia ni Meneja masoko wa Vodacom Tanzania Leornad Shayo.
No comments:
Post a Comment