Kocha wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli akiwaelekeza vijana toka klab mbalimbali jinsi sheria za mchezo wa ngumi zinavyokua wawapo ulingoni michuano ya mchezo wa ngumi imerindima leo jumapili katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni.
Baadhi ya wachezaji wa mchezo wa ngumi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao uliofanyika leo jumapili.
Kocha wa mchezo wa ngumi Habibu Kinyogoli akiwaelekeza vijana toka klab mbalimbali jinsi sheria za mchezo wa ngumi zinavyokua wawapo ulingoni michuano ya mchezo wa ngumi uliofanyika leo Jumapili katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).
No comments:
Post a Comment