Thursday, October 20, 2011

FRANCIS MIYAYUSHO AJIANDAA KUPAMBANA NA MBWANA MATUMLA!


Bondia Francis Miyayusho (kushoto) akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Badi Sachedina wakati wa mazoezi ya mwisho ya Miyayusho kabla ya kumvaa Mbwana Matumla katika mpambano wao wa ubingwa mwishoni mwa mwezi huu.
Bondia Francis Miyayusho (kulia ) akiongoza mazoezi katika kambi yake ya lazima ukae iliyopo Kinondoni Dar es salaam jana Miyayusho anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa na Mbwana Matumla litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu.
Bondia Francis Miyayusho (kushoto) akielekezwa jinsi ya kutupa masubwi na Doi Miyayusho wakati wa mazoezi yake ya kujiandaa na mpambano wa kuwania ubingwa na Mbwana Matumla utakaofanyika mwishoni mwa mwezi huu.( Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment