Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel wakiangalia makabrasha mbalimbali kabla ya kuanza kwa kikao chao cha kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu za kazi.
Mwenyekiti wa wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel. Bw. Raina Mwanyamba akizungumza wakati wa mkutano wao wa kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi.
Mmoja ya Wafanyakazi wa kiwanda cha kuyeyusha chuma chakavu (scrapers) Iron steel Omari Salumuakizungumza katika kikao chao cha kujadili kufukuzwa kazi kwa kudai nyongeza ya mshaara ambapo wafanyakazi 207 wamefukuzwa bila kufata taratibu zakazi. (Picha na Mpigapicha Wetu).
No comments:
Post a Comment