Sunday, August 7, 2011

NAPE ATEMBELEA CLOUDS MEDIA GROUP!

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza na baadhi ya viongozi na waandishi wa Clouds Media Group alipotembelea ofisi za kampuni hiyo Mikocheni Dar es Salaam, leo. Wapili kushoto ni Mkurugenzi Mwendeshaji wa Kampuni hiyo, Ruge Mutahaba akimsikiliza kwa makini.

                         Nape akionyeshwa na Ruge Studio za Clouds Tv zilivyo za kisasa.
Cuthbert Kajuna mtayarishaji wa Jarida la Kita Ngoma linaloandaliwa na kampuni hiyo, akimkabidhi Nape nakala ya jarida hilo alipoingia katika ofisi za utayarishaji wa jarida hilo ambalo ni miongoni mwa majarida yanayosisimua sana hapa nchini. Katikati ni Ruge Mutahaba.
Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga (kushoto) akisalimiana na Nape wakati wa ziara hiyo. Katikati ni Ruge.
           Nape akiagana na Ruge. Kushoto ni Meneja Rasilimali Watu wa kampuni hiyo, Monica.
                                          Ruge akiagana na Nape mwishoni mwa ziara hiyo.

No comments:

Post a Comment