Tuesday, July 19, 2011

AFRICAN BUSINESS INFORMATION BANK YAJA NA UMEME WA JUA!

Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Peopleshome Association kutoka nchini Ujerumani , Kretzschmar akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Bunge mjini Dodoma kuhusu mradi huo.

Ofisa Mtendaji wa Mkuu wa African Business Information Bank, kutoka nchini Ujerumani akifafanua jambo kwa waandishi wa habari kwenye ukumbi wa ofisi za Bunge kuhusu mradi wa umeme wa jua mjini Dodoma na {kushoto) ni Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni ya Peopleshome Association,toka Ujerumani pia Ulrich Kretzschmar. Mradi huo unatarajia kugharimu Euro milioni 150, utatekelezwa mkoa wa Katavi ,Kigoma na Kahama utaanza Januari mwakani. PICHA NA MAGRETH KINABO - MAELEZO.

No comments:

Post a Comment