Sunday, June 5, 2011

BREAKING NYUUUZ!!! MBOWE AKOSA DHAMANA, AENDELEA KUSHIKILIWA CENTRAL POLICE!

Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, kimesema hakitachochea maandamano ya aina yoyote bali kitatoa elimu kwa wananchi juu ya haki zao za Msingi.



Akizungumza Jijini Dar es salaam, Katibu Mkuu wa Chama hicho, DKT. WILBROAD SLAA, amesema uchochezi wa maandamano unaweza kusababishwa na kuwekwa kizuizini kwa baadhi ya Wabunge nchini akiwemo Mwenyekiti wa CHADEMA, FREEMAN MBOWE.


Ameongeza kuwa kwa sasa wabunge wanapaswa kupewa muda wa kutosha kuandaa hotuba za bajeti kufuatia kuanza kwa vikao vya bunge la bajeti vitakavyoanza jumanne bungeni Dodoma.

No comments:

Post a Comment