Tuesday, May 17, 2011

DIWANI KATA YA VINGUNGUTI AISHUTUMU MANISPAA YA ILALA KUKAIDI UTUPAJI TAKA!

Diwani wa Kata ya Vingunguti, Wilaya ya Ilala, Jijini Dar es Salaam, ASSAA SIMBA ameushutumu uongozi wa Manispaa ya Ilala kufuatia uongozi huo kukaidi kusitisha zoezi la upelekaji taka katika dampo lililopo kwenye kata hiyo.



Diwani huyo amesema watendaji wa manispaa ya Ilala wamekuwa wakaidi kufuatia kuruhusu magari kuendelea kupeleka taka katika Dampo hilo huku wakizuia juhudi za wananchi kwa kushirikiana na Diwani kupambana na hali hiyo.

No comments:

Post a Comment