Thursday, June 7, 2012

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA CANADA

 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete leo Juni 7, 2012 katika Ikulu ya Dar es salaam amekutana na kuagana na Bw Robert J. Orr, Balozi wa Canada nchini, anayemaliza muda wake wa uwakilishi.

No comments:

Post a Comment