Vijana wakishangilia kwenye mkutano wa CCM uliofanyika leo kwenye Viwanja vya Jangwani, Dar es Salaam.
Maelfu ya watu wakiwa kwenye mkutano wa CCM, Viwanja vya Jangwani Dar es Salaam, leo
Wana-CCM wakiwa na bango lenue ujumbe maalum
Moja ya mabango yenye ujumbe muhimu
Bango la kumopingfeza Rais Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa CCM Taifa.
Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akihutubia
Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia
Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli akihutubia
Waandishi wa habari wakiwa kazini kwenye mkutano huo
Watangazajai wa TBC1 wakiwa live kwenye mkutano huo
Mamia ya kadi za vyama vya upinzani zilizorudishwa
Nape akichaza gita na bendi ya Vijana Jazz
Viongiozi wa CCM waliohudhuria mkutano huo
Chege akitumbuiza
Nape akifuatilia mambo yanavyokwenda kwenye mkutano huo

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nauye akihamasisha kwenye mkutano huo, Kushoto ni Mlezi wa mkoa wa Dar, Abdulrahman Kinana.

Wana-CCM wakiwa na bango lenue ujumbe maalum

Moja ya mabango yenye ujumbe muhimu

Bango la kumopingfeza Rais Jakaya Kikwete, Mwenyekiti wa CCM Taifa.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Stephen Wasira Uratibu na mahusiano, akizungumza kwenye mkutano huo

Waziri wa Ardhi Profesa Anna Tibaijuka akihutubia

Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia

Waziri wa Ujenzi Dk. John Magufuli akihutubia

Waandishi wa habari wakiwa kazini kwenye mkutano huo

Watangazajai wa TBC1 wakiwa live kwenye mkutano huo

Mamia ya kadi za vyama vya upinzani zilizorudishwa

Nape akichaza gita na bendi ya Vijana Jazz

Viongiozi wa CCM waliohudhuria mkutano huo

Chege akitumbuiza

Nape akifuatilia mambo yanavyokwenda kwenye mkutano huo
No comments:
Post a Comment