Sunday, March 4, 2012

SIMBA YAUA, YAITAFUNA KIYOVU KWA MABAO 2-1! HIYOOOO YAPAA!

Baadhi ya wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha Simba leo!
Mashabiki wa Simba wakishangilia kwelikweli wakati timu hizo zikicheza.
Timu zikiingia uwanjani kabla ya kuanza kwa mchezo huo jioni hii.
Hii inaashiria kwamba kama matokeo yatakuwa hivihivi mana yake ni kwamba Simba itaendelea kukwea Mwewe yaani Ndege kwa ajili ya kushiriki raundi ya pili ya michuano hiyo. Picha na FULLSHANGWE BLOG!

1 comment:

  1. HEEE,JOB WELL DONE....mie mpita njia wa blog hii , na nimeipenda,, keep it up the good work dear!!

    ReplyDelete