Thursday, January 26, 2012

MIAKA 35 YA CCM, NAPE AZUNGUMZA NA UVCCM MWANZA


Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akizungumza katika kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Mwanza, juzi. Kikao hicho kilichofanyika Uwanja wa CCM Kirumba ulikuwa wa maandalizi ya Maadhimisho ya Miaka 35 ya CCM ambayo Kitaifa yatafanyika katika mkoa huo. Kushoto ni Katibu wa CCM mkoa wa Mwanza Joyce Masunga

No comments:

Post a Comment