Thursday, January 5, 2012

MABONDIA WA KLABU YA AMANA WAENDELEA KUJIFUA!

Baadhi ya mabondia wakifanya mazoezi katika klabu ya Amana CCM Dar es salaam jana kwa ajili ya mashindano mbalimbali yatakayowakabili mwishoni mwa mwezi huu.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com).

No comments:

Post a Comment